KUVUJA KWA PAKACHA NAFUU KWA MCHUKUZI

Magreth Kayombo
Wisdom&Wellness Counselor
Kibo, Dar-es-Salaam
Kususia jambo linalohusu jamii au hata mtu mwingine kwa sababu ya tatizo binafsi kunaleta unafuu kwa wale wanaobakia. Kwa upande mwingine inaweza kuwa ni maneno ya kujifariji wewe mwenyewe baada ya watu kukususa.