Hujafa Hujaumbika

Masimulizi ...
by Victoria Nakajumo (Wisdom&Wellness Counselor - TEWWY).
Binadamu hupitia mambo mengi katika maisha, mambo magumu na mepesi, mazuri na mabaya. Mathalan, mtu anazaliwa akiwa na viungo vya mwili vilivyokamilika, kwa bahati mbaya anapata ajali na kupoteza baadhi ya viungo vyake na kusababisha ulemavu. Tunaaswa kutowadharau au kuwacheka watu kutokana na matatizo waliyoyapata kwani hata sisi yaweza kutupata wakati wowote. Ni kweli kabisa kuwa kabla hujafa unakuwa bado hajaumbika. Lolote linaweza kukupata wakati wowote.
The Healing Hands Project
We are excited to launch the #HealingHands project. The project supports interpersonal counseling, group talk therapy and psychoeducation resources to be delivered through arts, where clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. It also promotes the economic growth of grandmothers who are trained in and are implementing WHO's mental health Gap Action Program #mhGAP. Income generated from sales of the jewelry will also support the sustainable implementation of accessible psychosocial interventions among underserved communities. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection to stay posted.
#MentalHealth #Grandmother #Wisdom #Wellness #ArtTherapy