MFICHA MARADHI KIFO HUMUUMBUA

Christina Mande
Wisdom&Wellness Counselor
Kizinga, Dar-es-Salaam
Maana yake ni kama una maradhi yanayokusumbua humwambii mtu ili upate msaada wa matibabu basi mwisho wake ni kifo. Au kama una matatizo mazito na ukaamua kukaa kimya basi unaweza kuishia na msongo wa mawazo au kifo.