CHAKULA KIIVAPO WATOTO HUWA WANAKIZUNGUKA HARAKA, LAKINI WAKATI WA KAZI HUTOA SABABU NYINGI

Grace Mshanga
Wisdom&Wellness supervisor
Temeke & Ubungo, Dar-es-Salaam
Watoto wana kawaida kuwa chakula kinapokuwa tayari huzunguka haraka na kuanza kula lakini wakipewa kazi hufanya kwa kinyonge. Hit ni kuwafundisha watoto kuwa wakiwa katika umri mdogo waanze kujifunza kufanya kazi ndogondogo mfano, kuosha vyombo na kufagia sio kungoja chakula tu.