MMOJA SHIKA SI KUMI NENDA UJE

Sakina Bushiri
Wisdom&Wellness Counselor

Mangaya, Dar-es-Salaam

Usiache au kudharau kitu ambacho tayari unacho mkononi ukitegemea utapata vingi baadaye.

Previous
Previous

CHAKULA KIIVAPO WATOTO HUWA WANAKIZUNGUKA HARAKA, LAKINI WAKATI WA KAZI HUTOA SABABU NYINGI

Next
Next

ULIMI NI PAMBO LA MDOMO