ULIMI NI PAMBO LA MDOMO

Mary Kingu
Wisdom&Wellness Meditation Garden
Tandale, Dar-es-Salaam
Ulimi ni kiungo muhimu katika mazungumzo ya kila siku, unapotumiwa vibaya huleta madhara makubwa. Usemi huu unatupa fundisho la kutumia vizuri ulimi katika mazungumzo, iwe kwenye familia, jamii, na hata katika taasisi mbalimbali.