MFA MAJI HAACHI KU TAPATAPA

Christina Mande
Wisdom&Wellness Counselor
Kizinga, Dar-es-Salaam
Msemo huu huwaasa wale wote ambao wakianguka katika mipango yao usingizia mambo mengi kama watu wanamwonea wivu, wanamloga, hawampendi n.k. Hapo anaangalia alipoangukia bila kuchunguza sababu zizotuangusha ili tuzitatue na kuanza upya.