Pole Pole Ndio Mwendo

Umakini wa kufanya mambo unahitajika katika maisha yetu.Tunajifunza kuwa tunapoanza kufanya kitu chochote tusiwe na haraka ya kupata matokeo/mafanikio ya haraka, yatupasa kuwa na subira. Tuepuke kuchukua njia za mkato ambazo zinaweza zisiwe na mafanikio na hatimaye kutupeleka pabaya. Mathalan, ukiwa na biashara au mradi wowote yakupasa uende nao kimkakati ili uweze kupata matunda mazuri na mafanikio unayotarajia. Vikwazo vitakuwepo, majaribu yatakuwepo, nenda pole pole, tafuta ufumbuzi na hatimaye utafanikiwa.

The Healing Hands Project

We are excited to launch the #HealingHands project. The project supports interpersonal counseling, group talk therapy and psychoeducation resources to be delivered through arts, where clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. It also promotes the economic growth of grandmothers who are trained in and are implementing WHO's mental health Gap Action Program #mhGAP. Income generated from sales of the jewelry will also support the sustainable implementation of accessible psychosocial interventions among underserved communities. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection to stay posted.

#MentalHealth #Grandmother #Wisdom #Wellness #ArtTherapy

Make a one-time donation

Your support is appreciated.

Donate


Make a monthly donation

Your contribution is appreciated.

Donate monthly


Make a yearly donation

Your contribution is appreciated.

Donate yearly

Previous
Previous

Tembo Hachoshwi na Mkonga Wake

Next
Next

Asiyesikia la Mkuu Huvunjika Guu