Tembo Hachoshwi na Mkonga Wake

Joyce Msai - Wisdom&Wellness Counselor, TEWWY

Pamoja na uzito wa mkonga wake, tembo huwa hachoki kuubeba popote aendapo. Mkonga wa tembo ni kama matatizo yanayomkuta binadamu katika maisha yake ya kila siku. Matatizo ni sehemu ya maisha, hushitua na kujeruhi mioyo yetu mfano vifo, ajali, magojwa, ndoa, watoto nk. Changamoto tunazopitia kwenye maisha ni kama mkonga wa tembo ambao hauachi, anatembea nao. Tunatakiwa kuyapokea matatizo yetu na kuyakubali na hatimaye kuyatafutia ufumbuzi. Tusichoke kuyabeba kama vile tembo asivyochoka kubeba mkonga wake.

The Healing Hands Project

We are excited to launch the #HealingHands project. The project supports interpersonal counseling, group talk therapy and psychoeducation resources to be delivered through arts, where clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. It also promotes the economic growth of grandmothers who are trained in and are implementing WHO's mental health Gap Action Program #mhGAP. Income generated from sales of the jewelry will also support the sustainable implementation of accessible psychosocial interventions among underserved communities. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection to stay posted.

#MentalHealth #Grandmother #Wisdom #Wellness #ArtTherapy

Previous
Previous

Aisifuye Mvua Imemnyea

Next
Next

Pole Pole Ndio Mwendo