Kushinda na Kushindwa ni Sehemu ya Maisha ya Binadamu

Masimulizi ...
by Alfreda George (Wisdom&Wellness Counselor - TEWWY).
Katika maisha watu huwa na shauku/hamu ya kutaka kufikia malengo fulani. Inategemea sana na aina na kiwango cha shauku alicho nacho mwanadamu. Ukubwa/udogo wa shauku aliyonayo mwanadamu ndio msingi wa kushinda au kushindwa. Shauku kubwa huleta ushindi mkubwa. Hali kadhalika, kama hakuna shauku na ari ndani ya nafsi ya mtu siyo rahisi kupata ushindi. Ari, shauku na nia thabiti ni vitu muhimu sana vinavyohitajika kufikia malengo/ushindi ambao ni kiu ya kila mwanadamu.
The Healing Hands Project
We are excited to launch the #HealingHands project. The project supports interpersonal counseling, group talk therapy and psychoeducation resources to be delivered through arts, where clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. It also promotes the economic growth of grandmothers who are trained in and are implementing WHO's mental health Gap Action Program #mhGAP. Income generated from sales of the jewelry will also support the sustainable implementation of accessible psychosocial interventions among underserved communities. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection to stay posted.
#MentalHealth #Grandmother #Wisdom #Wellness #ArtTherapy