KABLA HUJADANGANYWA NA WENZIO HUJAFA

Morris Lekule
Director of Programs & Sustainability
Ni mara nyingi unapodanganywa na mwenzio, marafiki au rika kwa kupotezana - sasa usipokuwa na akili ni rahisi kutumbukia kwenye shida. Hivyo basi kama utapokea ushauri unatakiwa kutumia na akili yako pia.