ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU

Sakina Bushiri
Wisdom&Wellness Counselor

Mangaya, Dar-es-Salaam

Usemi huu hutumika kuwaasa watu wasiopenda kufuata/kusikiliza wanayoambiwa na wakubwa; kwani mwishowe hufikwa na matatizo wakajuta.

Previous
Previous

KIDOLE KIMOJA HAKIVUNJI CHAWA

Next
Next

UKIMTAJA CHUI FUNGA MLANGO