MGAA GAA NA UPWA HALI WALI MKAVU

Sakina Bushiri
Wisdom&Wellness Counselor

Pugu, Dar-es-Salaam

Hii hutumika kuhimiza watu kufanya kazi kwani kwa kufanya hivyo hutolala njaa. Katika mfano huu, mvuvi hali chakula bila mboga.

Previous
Previous

SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI

Next
Next

UKIPENDA BOGA, UPENDE NA MAUA YAKE