NJIA YA MUONGO FUPI

Grace Mshanga
Wisdom&Wellness Supervisor
Temeke & Ubungo, Dar-es-Salaam
Msemo huu una maana kuwa muongo huweza kugundulika kwa urahisi. Usemi huu unatumika kuwajulisha wasema uongo kuwa hugundulika kwa wepesi sana, ukimuuliza maswali mawili matatu unagundua uongo wake hivyo huwahamasisha kusema ukweli.