UKISIKIA YOWE KIMBIA KUOKOA JAHAZI

Grace Mshanga
Wisdom&Wellness Supervisor
Temeke & Ubungo, Dar-es-Salaam
Usikiapo yowe lazima kwenda kutatua tatizo. Kuna sauti maalumu hupigwa ikiashiria tatizo limetokea katika jamii au sehemu hiyo, ni lazima kwenda na kumaliza tatizo kwa ushirikiano.