NJIA NDEFU HUTUPA MAISHA MAREFU

Caroline Swai
Wisdom&Wellness Supervisor
Kigamboni,Kinondoni & Ubungo, Dar-es-Salaam
Tunapotaka kufanya jambo lolote tuwe na subira, tusiharakishe kwani haraka haina baraka. Tunapovuta subira tunapata muda wa kutafakari na kufanya kwa umakini na hatima yake ni mafanikio mazuri.