USITUKANE WAKUNGA NA UZAZI UNGALIPO

Margareth Kayombo
Wisdom&Wellness Counselor
Kibo, Dar-es-Salaam
Hutumika kama onyo kwa mtu anae dharau huduma muhimu anayopewa, kwani siku nyingine ataihitaji tena. Usemi huu unaweza kufananishwa na ule usemao “Baniani mbaya kiatu chake dawa.”