WAKATI UKUTA

Caroline Swai
Wisdom&Wellness Supervisor

Kigamboni,Kinondoni & Ubungo,Dar-es-Salaam

Inatufundisha kuwa kila jambo linatakiwa kufanyika kwa wakati wake kama lilivyopangwa. Vinginevyo ukichelewa, utakosa mengi, unaweza pata hasara na itakuwa haina maana kwako. Msemo huu unafanana na ule usemao "Chelewa chelewa utakuta mwana si wako".

Previous
Previous

NJIA NDEFU HUTUPA MAISHA MAREFU

Next
Next

MKWE/KIJANA ALIYEOA KWENU UTAMJUA KWA MAVAZI YAKE