Muda Haumsubiri Mvivu

Alfreda George - Wisdom&Wellness Counselor (TEWWY)

Simulizi

by Alfreda George (Wisdom&Wellness Counselor - TEWWY).

Kila jambo lina wakati na majira yake. Hata tunapopanga mipango tunaweka na muda wa kutekeleza. Pamoja na hayo, inategemea na jinsi wewe mpangaji wa mipango kama unajali muda na wakati wa kuitekeleza. Usipozingatia utakuta muda umeondoka bila ya matokeo.

Mara nyingi hayo huwa yanatokea kwa watu ambao ni wavivu. Mvivu mara nyingi huwa ni muongeaji na mpangaji mzuri lakini inapofika kwenye kutekeleza inakuwa ngumu. Zaidi, yeye huwa anasogeza ratiba mbele. Akisema hiki nitafanya kesho na hiki keshokutwa. Mwisho anajikuta anakwenda nje ya muda.

Kumbuka muda haumsubiri mtu, mwisho unajikuta una mipango isiyotekelezeka. Watu wa namna hii huwa wanalaumu watu kumbe tatizo liko kwao. Mvivu hana rafiki. Tujali muda ili kufanikisha shughuli zetu. Kazi billa mpangilio, hazina matunda mazuri.

The Healing Hands Project

The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection

Previous
Previous

Mwongo Huwa Hasemi Yake

Next
Next

Akufaaye Kwa Dhiki Ndiye Rafiki