Uvivu Ni Adui Wa Mafanikio

Caroline Swai - Wisdom&Wellness Counselor (TEWWY)

Simulizi

by Caroline Swai (Wisdom&Wellness Counselor - TEWWY).

Uvivu ni kizuizi kikuu cha mafanikio ya
binadamu yeyote. Hata maandiko matakatifu yanadhihirisha hayo kwa kusema kuwa mvivu siku zote hufa maskini na hatakiwi kupewa chakula. Tunaambiwa kuwa mwenye bidii hula jasho lake ambalo ni bidii yake mwenyewe na hufa akiwa tajiri.

Kwa hiyo bidii ni kipaumbele katika mafanikio ya mtu yeyote.Siku zote mwenye bidii ni kipenzi cha wengi lakini mvivu huchukiwa na kila mtu. Tunaweza kusema kuwa mchawi mkubwa wa mafanikio ni uvivu.

Funzo: Tunatakiwa kuongeza bidii kwa wingi katika kazi zetu. Hatutakiwi kukata tamaa, kuwa
wazembe, wavivu na kwenda kwa waganga, eti kutafuta utajiri. Kumbuka, vyote hivyo silo endelevu katika dunia ya leo.

Binadamu yeyote ameumbwa ili achakarike kwenye dunia hii ngumu. Uvivu ni gharama sana wakati kufanya kazi kwa bidii ni ufunguo wa maisha bora kwa mwanadamu.

The Healing Hands Project

The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection

Previous
Previous

Usihukumu Kitabu Kwa Ganda La Juu.

Next
Next

Mkataa Kwao Mtumwa