MWENYE KISU KIKALI NDIO MLA NYAMA ILIYONONA

Christina Mande
Wisdom&Wellness Counselor
Temeke, Dar-es-Salaam
Mtu akifanya kazi kwa bidii ndiye anaye fanikiwa. Kwa mfano mwanafunzi akisoma kwa bidii ndiye anayefaulu vizuri au mkulima akilima kwa bidii ndiye anayepata mavuno mazuri.