Chagua Mamboa Ya Kujifunza Na Kutafakari

Victoria Nakajumo - Wisdom&Wellness Counselor (TEWWY)

Simulizi

by Victoria Nakajumo (Wisdom&Wellness Counselor - TEWWY).

Si nyakati zote waweza kuyazuia masikio kusikia na macho kuona ubaya usemwao/ufanyikao dhidi yako. Lakini unaweza kuuzuia moyo wako kutafakari juu ya ubaya uliousikia au kuuona ambao unakuhusu. Shetani ni mjanja, hutuma taarifa mbaya ili wa kuudhoofisha moyo wa mwanadamu. Moyo ukijeruhika, mwili pia hujeruhika.

Si kila jambo ni la kutafakari, ukiona ni la kujeruhi na lina lengo la kuibua chuki, liache liishie masikioni na machoni, usiruhusu lifike moyoni mwako. Yatupasa tuilinde sana mioyo yetu, kuliko tulindavyo kitu kingine chochote. Asili ya uzima wetu unatokana na mioyo iliyo imara na thabiti. Ukiujeruhi moyo wako unakuwa umejeruhi uhai wako. Tuchunge sana mioyo yetu maana ndio asili ya uzima wa wetu.

The Healing Hands Project

The Healing Hands project will economically empower people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community - eliminating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain the implementation of accessible psychosocial interventions in underserved communities and promote the economic empowerment of the grandmothers who have been trained in and are implementing WHO's mental health Gap Action Program. Healing Hands provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources delivered through arts, where clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection to stay up-to-date.

#MentalHealth #Grandmother #Wisdom #Wellness #mhGAP #HealingHands #Art #Culture #Tanzania

Previous
Previous

Mtaji Wa Maskini Ni Nguvu Zake Mwenyewe

Next
Next

Ili Kufanikiwa Ni Lazima Uhame