Kikulacho Ki Nguoni Mwako

Simulizi
by Tap Elderly Women's Wisdom for Youth (TEWWY).
Binadamu tunakumbushwa kuwa mtu anayeweza kuiudhuru, ni yule anayekufahamu vizuri. Pia kuna usemi unaofanana na huu, nao ni: “Adui wa mtu ni mtu”. Usemi huu, hali kadhalika unatukumbusha kuwa, aghalabu matatizo tuyapatayo husababishwa na watu tunaoishi nao kila siku, pengine ni watu tulioshibana nao sana.
Yatupasa kuchukua tahadhari pale tunapoweza, kutoshirikisha kila mtu kila ulicho nacho moyoni mwako kwani huna uhakika watakichukuliaje hicho unachowashirikisha. Kuwa mwangalfu, wanaweza kutumia hicho hicho ulichowashirikisha kukumaliza kabisa.
Wengine pia husema, adui yako ni yule yule unayekula pamoja naye. Semi zote zinaonyesha na kusistiza kuwa atakayekuumiza ni yule mtu uliye karibu naye. Tuwe waangalifu, adui yako hatoki mbali na hapo ulipo.
The Healing Hands Project
The Healing Hands project will economically empower people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community - eliminating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain the implementation of accessible psychosocial interventions in underserved communities and promote the economic empowerment of the grandmothers who have been trained in and are implementing WHO's mental health Gap Action Program. Healing Hands provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources delivered through arts, where clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection to stay up-to-date.
#MentalHealth #Grandmother #Wisdom #Wellness #mhGAP #HealingHands #Arts #Culture #Tanzania