Utaula Wa Chuya Kwa Uvivu Wa Kuchagua

Grace Mshanga - Wisdom&Wellness Counselor (TEWWY)

Simulizi

by Grace Mshanga (Wisdom&Wellness Counselor - TEWWY).

Chuya ni mpunga ambao unakuwa umejichanganya na mchele mzuri ambao upo tayari kwa kupikwa. Hizo chuya huwa zinatakiwa kuchaguliwa ili kupata mchele mzuri, tayari kwa kupikwa. Lakini inawezekana kwa watu wengine ambao ni wavivu, kuupika mchele ukiwa hivyo haujachaguliwa wasione tofauti ama vibaya.

Usemi huu unatufundisha kutokuwa wavivu katika jambo lolote tunalolifanya. Kila mtu anatakiwa kufanya kazi kwa kujituma ili kufanikisha malengo yake. Unapofanya jambo kwa ulegevu unaukaribisha umaskini wa kukutosha. 

Hata mabinti zetu wana tabia ya kuchagua wenzi wao wa aina fulani mwisho wanaishia kupata watu ambao sio saizi yao. Mara nyingi huwa wanaishia kuula wa chuya. Tunashauriwa kuwa makini wakati wote tunapotakiwa kufanya uchaguzi. Dunia ni kitu dhaifu sana, hata hivyo, hatutakiwi kuichezea.

The Healing Hands Project

The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection

Previous
Previous

Upendeleo Au Ubaguzi Ndani Ya Familia Siyo Mzuri

Next
Next

Nyani Akiumwa Ukimpa Dawa Akipona, Jiandae Mahindi Yako Kuliwa