Kikulacho Ki Nguoni Mwako

Grace Mshanga - Wisdom&Wellness Counselor (TEWWY)

Simulizi

by Grace Mshanga (Wisdom&Wellness Counselor - TEWWY).

Neno kikulacho linaelezea uharibifu ambao unaweza kutokea au kufanyika kwa makusudi au bila kukusudia ili kumuharibia mtu. Mara nyingi hilo jambo hutokea kwa watu wanaoelewana vizuri. Zaidi ni marafiki ambao huwa wanafanyiana hivyo. Hii ni kwa sababu kila mmoja anamuelewa mwenzake vizuri. Inawezekana akawa ni jirani yako au ndugu yako. 

Msemo huu unafanana na ule usemao mpindua nchi ni mwananchi mwenyewe. Mtu anayepindua nchi ni yule anayefahamu vizuri mazingira ya nchi husika. Vilevile kuna usemi usemao adui wa kwanza ni wa nyumbani mwako.  

Fundisho kubwa hapa ni kuwa tuwe makini na marafiki na hata jamii inayotuzunguka. Kikubwa tumuombe Mungu atuwezeshe kuishi kwa amani na kila mtu kwa heshima na upendo.

The Healing Hands Project

The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection

Previous
Previous

Mkuki Kwa Nguruwe, Kwa Binadamu Mchungu

Next
Next

Unachokifanya Leo Kinatengeneza Kesho Yako