Maisha ni Mafupi, Tusiache Kutenda Mema

Simulizi
by Alfreda George (Wisdom&Wellness Counselor - TEWWY).
Kutenda mema au wema ni silaha kubwa katika maisha yetu. Kuishi hapa duniani ni kwa neema tu ambayo mtu hujaliwa na Muumba wetu. Hatuna uhakika na siku zetu za hapa duniani. Hatuna uhakika kama tutamaliza salama siku zetu zilizosalia ama laa, hiyo ni siri ya Mwenyezi Mungu pekee.
Cha msingi, tunatakiwa kutenda mema kwa wenzetu. Tunatakiwa kutoa msaada pale inapotulazimu. Tunatakiwa kushiriki kwenye matukio mbalimbali kwenye jamii inayotuzunguka. Ukweli ni kwamba, hakuna anayejua siku wala saa ya kuondoka kwake hapa duniani.
Usemi huu unatufundisha kuwa tusiache kutenda wema kwani hiyo ni hazina pekee. Tukumbuke kuwa maisha yetu ni mafupi sana. Yatupasa tuitafute amani siku zote za maisha yetu. Amani na upendo ndivyo vitu vya msingi hapa duniani.
The Healing Hands Project
The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection