Chui Hakumbatiwi

Grace Mshanga - Wisdom&Wellness Counselor (TEWWY)

Simulizi

by Grace Mshanga (Wisdom&Wellness Counselor - TEWWY).

Fikira za mwanadamu huwa hazina ukomo. Hii ni kutokana na ukweli kwamba binadamu ana mambo mengi ya kuwaza wakati wote. Kuna mambo tunayawaza yakiwa ni ya hatari kwetu na ya kuhuzunisha pia. Mambo ya kuhuzunisha huwezi kuyakumbatia. Mambo hayo ni kama uvivu, wizi, kutowajibika, kusengenya na kusema uongo. Ukitaka kuwa na amani, inakupasa ujitenge na mambo hayo, hii ni kwa ajili ya ustawi wako mwenyewe.

Mambo hayo mabaya uwazayo hufananishwa na chui ambaye hawezi akakumbatiwa maana anaweza kukujeruhi na kukuumiza na hata kusababisha kupoteza uhai. 

Sote tunajua kuwa chui ni mnyama ambaye hawezi na hapaswi kuishi na binadamu. Ni mnyama hatari kweli kweli na anapgopwa na kila mtu. Kama vile tumuogopavyo mnyama huyu, basi na hayo mambo mabaya tuyaogope vilevile ili usitawi uwepo katika maisha yetu.

The Healing Hands Project

The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection

Previous
Previous

Bora Mchawi Kuliko Mfitini

Next
Next

Usisamehe Kama Hauko Tayari Kusahau