Kinywa ni Jumba la Maneno

Grace Mshanga - Wisdom&Wellness Counselor (TEWWY)

Simulizi

by Grace Mshanga (Wisdom&Wellness Counselor - TEWWY).

Kinywa kinahusisha mdomo na ndani yake kuna ulimi. Hapo ndipo yanapotokea maneno chanya na hasi, mazuri na mabaya. Tunasema ni jumba la maneno kwa sababu maneno yote hutokea hapo.

Usemi huu unatufundisha kuchambua maneno tunayozungumza ili yasije yakawa ya kuumiza au kuleta machungu kwa watu wengine. Inatupasa tujitahidi kuongea maneno yenye upendo, faraja na amani. Endapo tutaishi hivyo, tutakuwa na amani. Hali kadhalika, tutaleta faraja kwenye jamii zetu. 

Changamoto tulizo nazo, ziwe ni zetu wote. Tushirikiane na kusaidiana katika kutatua changamoto zetu ili tudumishe upendo na amani katika jamii

The Healing Hands Project

The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection

Previous
Previous

Chakula cha Mchana Hakikosi Kuni

Next
Next

Bora Mchawi Kuliko Mfitini