Subira Yavuta Kheri

Grace Mshanga - Wisdom&Wellness Counselor (TEWWY)

Simulizi

by Grace Mshanga (Wisdom&Wellness Counselor - TEWWY).

Jambo lolote unalotaka kulifanya inabidi ulitathimini kwanza kabla hujalitolea maamuzi. Usifanye maamuzi wakati una haraka au una hasira. Unatakiwa kutulia na kutafakari kwanza, kwa sababu usipofanya hivyo utajikuta umetoa maamuzi ya kukuumiza na ukaishia kupata hasara.

Sambamba na usemi huu ni ule usemao haraka haraka haina baraka. Maisha yanaanzia chini mara zote ndipo unapanda juu kidogo kidogo.

Unaposikia habari yoyote iwe mbaya au nzuri, usikimbilie kuongea kabla hujapata uhakika wake. Hiyo ndio subira inayoongelewa hapa. Mwisho wa siku utajikuta umepata hali halisi ya wanayoongea na ukweli wa mambo yenyewe. Tuwe na subira, tusikurupuke kwenye mambo yote yote yanayotukuta katika maisha yetu..yatupasa tuwe na subira, pole. Pole pole ndio mwendo, wahenga walinena.

The Healing Hands Project

The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection

Previous
Previous

Mwamba Ngoma, Ngozi Huvutia Kwake

Next
Next

Ukitaka Salama Ya Dunia, Zuia Ulimi Wako