Mwenye Shoka Hakosi Kuni

Simulizi
by Grace Mshanga (Wisdom&Wellness Counselor - TEWWY).
Hakuna jambo linaloweza kufanyika bila kuwa na nyenzo zitakayowezesha uwepo wa mafanikio. Tunapoongelea shoka, inaweza ikawa ni pesa ambazo zitakuwezesha kufanya jambo fulani. Unapokuwa mbunifu wa mambo mbalimbali itakupasa uwe na kitu unachomiliki kitakachokuwezesha kuanza shughuli ama mradi fulani. Kama ni mradi wa kulima, inabidi uwe na ardhi unayomiliki ama ya kukodi. Kama ni biashara, iwe ya aina yoyote, unahitaji fedha. Hivyo vitu vikiwepo, biashara yoyote utakayohitaji kufanya itaweza kufanyika.
Kumiliki shoka na kuwa na kuni kunafananishwa na mtu ambaye ni mbunifu. Mtu wa aina hii, hawezi kukosa maisha mazuri kwani chochote atakachotaka kufanya kitafanikiwa. Maisha yake yataboreka sana.
Ubunifu ni nyenzo kubwa sana katika maisha ya mwanadamu. Kama ilivyo katika kutafuta kuni unahitaji shoka, ndivyo ilivyo katika ubunifu. Hii ni kama ilivyo kwenye shoka katika kutengeneza kipato chetu.
The Healing Hands Project
The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection