Fanya Maamuzi Ukiwa Na Utulivu.

Simulizi
by Victoria Nakajumo (Wisdom&Wellness Counselor - TEWWY).
Usifanye maamuzi ukiwa na njaa kali au pochi yako iko tupu. Pale utakaposhiba, utajuta.
Watu imara zaidi duniani ni wale wenye uwezo wa kufanya maamuzi sahihi bila kujali hali ya tumbo au pochi zao. Watu wengi wamepoteza ndoto kubwa kwa sababu ya kufanya maamuzi kipindi wakiwa wanafikria njaa waliyonayo kwa muda huo. Njaa ni mbaya itakufanya ujutie maamuzi yako.
The Healing Hands Project
The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection