Tone La Maarifa.

Simulizi
by Victoria Nakajumo (Wisdom&Wellness Counselor - TEWWY).
Ukitaka kufanya vizuri maishani wafanyie watu yaliyo mazuri, kwa sababu hakuna namna yoyote ambayo unaweza ukafanikiwa pasipo watu.
Kumbuka kuwa hata wafanyakazi wenzako ni watu, bosi wako ni mtu, wateja wako ni watu, hata huyo mlinzi wa getini unayempita kama kinyesi pasipo salamu naye ni mtu.
Kutokukubaliana na sheria hii ni kutokukubaliana na asili, na mwisho wa siku lazima tu utadondoka kwenye chochote unachokifanya.
The Healing Hands Project
The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection