Nazi Haishindani Na Jiwe!

Grace Mshanga - Wisdom&Wellness Counselor (TEWWY)

Simulizi

by Grace Mshanga (Wisdom&Wellness Counselor - TEWWY).

Nazi ni tunda linalotokana na mti wa mnazi. Kwa kawaida, nazi ni ngumu na jiwe ni kipande kinachotokana na mwamba. Ndio maana tunasema, nazi haiwezi kushindana na jiwe kamwe, kutokana na uimara wa jiwe.

Ili kutoa tui kwenye nazi, inakupasa uipasue nazi ndipo iweze kukunwa na halafu kuchujwa ili kupata tui.
Mara nyingi, nazi yaweza kuvunjwa na jiwe kwa kuwa jiwe ni gumu kuliko nazi.

Hapa tunajifunza kuwa hakuna jambo gumu lisilo na suluhu. Ukiona jambo linataka kukushinda tafakari zaidi na hatimaye utapata suluhu. Kuna watu husema "hakuna mkate mgumu mbele ya chai", hivyo hivyo, palipo na nia, kila jambo, hata liwe gumu kiasi gani, suluhu huweza kupatikana

The Healing Hands Project

The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection

Previous
Previous

Mpanda Hovyo Hula Hovyo.

Next
Next

Avuae Nguo Huchutama.