Mwembe Wa Uwani Nyani Hatambi!

Simulizi
by Grace Mshanga (Wisdom&Wellness Counselor - TEWWY).
Ni kawaida kwa jamii nyingi kupanda miti ya matunda uwani kwa nyumba zao. Miti ya matunda hii ni kama miparachichi, miembe, mikomamanga na kadhalika. Kwa kufanya hivyo, watu hawa wanakuwa na uhakika wa kupata mavuno na kuyafaidi kwa sababu ndege pamoja na wanyama waharibifu, kama nyani, ngedere nk hawawezi kutamba hapo kutokana na ukweli kwamba wakati wote kunakuwepo na watu. Endapo wanyama hao watakuja, lazima watafukuzwa na wenye matunda.
Tunajifunza kuwa ni muhimu kuangalia sehemu za kupanda vyakula vyetu hasa matunda na kuhakikisha ulinzi upo wakati wote ili kukwepa hasara. Hali kadhalika, tunashauriwa kutopanda mazao pembeni mwa mito. Tukifanya hivyo, pale mvua zitakapo kuwa nyingi, mazao huchukuliwa na maji. Hivyo yatupasa tupande mazao yetu mahali pa usalama ili kuzuia mvua zisitambe kwenye mazao yetu.
The Healing Hands Project
The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection