Tunda Jema Halikai Mtini.

Simulizi
by Grace Mshanga (Wisdom&Wellness Counselor - TEWWY).
Matunda ni aina ya chakula ambayo hulinda miili yetu na magonjwa mbalimbali. Katika mada hii, tunaongelea juu ya tunda ambalo ni moja kati ya matunda mengi yanayosifiwa kuwa ni mema na mazuri. Hii ni wazi tunda lolote lililo zuri haliwezi kukaa sana mtini maana lazima lichumwe mapema na kuliwa.
Usemi huu unafanana na ule usemao, ‘mti wenye matunda mazuri haukosi kupigwa mawe’. Kwa kawaida, mti kama huu lazima upigwe mawe ili kuangusha matunda mazuri yaweze kuliwa.
Pia inatarajiwa kuwa mwanadamu mwenye maadili mema atatoa matunda mema ili watu wayale. Baraka ambazo Mwenyezi Mungu amekupa ni matunda, hatutakiwi ule peke yako. Inakupasa uwe mtoaji kwa wengine. Usijilimbikizie mali na usiwe mchoyo. Inakupasa uache urithi wa wema wako (legacy) kwa watu.
The Healing Hands Project
The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection