Utayari Una Faida.

Simulizi
by Alfreda George (Wisdom&Wellness Counselor - TEWWY).
Utayari maana yake ni kujitoa kufanya jambo lililokusudiwa na ndio ufunguo wa maisha. Ni ile shauku ya kutaka kufanya jambo na kuzingatia sawasawa na vile unavyoagizwa.
Unapozingatia na kutii, ni lazima utakutana na usitawi wako katika kila jambo unalokusudia.
Ni shauku kubwa ya Mungu kutuona tunafanikiwa katika maisha yetu. Mwenyezi Mungu siku zote huwa anatuwazia yaliyo mema. Shauku hii inatimizwa na utayari wetu katika kutii maagizo yatolewayo na mamlaka iliyo juu yetu. Haijalishi hiyo mamlaka iliyo juu ni ya aina gani. Utii ni bora kuliko sadaka.
Amua sasa kuwa tayari katika maisha yako ili uruhusu jambo jipya litokee kwako.
The Healing Hands Project
The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection