Maji Yakimwagika Hayazoleki!

Simulizi
by Alfreda George (Wisdom&Wellness Counselor - TEWWY).
Maji huwa yana nguvu sana yakiwa kwenye njia yake. Pamoja na umuhimu mkubwa wa maji kwa viumbe hai, yakimwagika umuhimu wake unakuwa haupo tena maana huwezi kuyazoa na kuyatumia.
Usemi huu unatufundisha kuwa yaliyopita yamepita tuangalie ya leo. Ya jana sio ya leo, kama yalikuwa mabaya basi tusihamishe kuyaleta leo. Acha jana iwe jana na leo iwe leo na kesho itakuwa kesho na mambo yake. Ukichanganya mambo uliyoshindwa jana ukayaleta leo, basi hata afya yako ya akili itaharibika. Wahenga wetu walinena, yaliyopita si ndwele tugange yajayo. Yatupasa tuendelee kupambana bila kukata tamaa. Maisha ndivyo yalivyo.
The Healing Hands Project
The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection