Inyeshe Tuone Panapovuja

Simulizi
by Grace Mshanga (Wisdom&Wellness Counselor - TEWWY).
Mvua ni baraka ambayo huwanufaisha watu wote. Mkulima ama mfugaji akinufaika na mvua, mazao yapatikanayo kutoka kwao yatawanufaisha watu wote.
Hivyo tunaposema inyeshe tuone panapovuja, tuna maana kuwa pakionekana pale panapovuja patafanyiwa marekebisho.
Tunashauriwa kuwa wakati tunaponunua viwanja kwa ajili ya kujenga nyumba, ni vizuri kama ni sehemu za mabondeni kununua wakati wa masika. Pale ndipo unaweza kuona uhalisia wa mahali hapo.
Hapa tunajifunza kuwa tufanyapo vitu tunatakiwa kuwa makini ili baadaye tusije tukajuta na kuanza kuukaribisha msongo wa mawazo.
The Healing Hands Project
The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection