Panapofuka Moshi Pana Moto.

Simulizi
by Grace Mshanga (Wisdom&Wellness Counselor - TEWWY).
Moshi ni hali ya ukungu wa joto na harufu ya kuunguzwa kwa majani, miti na hata karatasi. Hali hii unaweza kuiona kwa macho pia unaweza kuihisi kupitia kwenye pua. Kwa mfano huwezi kuona moshi unafuka kutoka msituni bila kuwa na moto nyuma yake. Hivyo moto huwa ndiyo sababu ya moshi kufuka.
Msemo huu unaweza kuufananisha na kutokuelewana kwa wanadamu. Mathalani, kunaweza kutokea ugomvi mkubwa baina ya watu, ugomvi unaoweza kusababisha watu hata kuuana. Kama vile tunavyoweza, kuuzima moto vivyo hivyo tunaweza kuuzima ugomvi ambao huweza kusababishwa na maneno ya uchochezi. Yatupasa kuwa na upendo kwani upendo huleta suluhu. Tunaona kuwa binadamu wakiafikiana na kupendana kunakuwa na suluhu katika maisha. Hali hii ikiwepo huleta afya na Ustawi kwa wanadamu.
The Healing Hands Project
The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection