Hewala Si Utumwa!

Grace Mshanga - Wisdom&Wellness Counselor (TEWWY)

Simulizi

by Grace Mshanga (Wisdom&Wellness Counselor - TEWWY).

Hewala ni neno linalomaanisha "ndiyo" au "ni sawa". Hii ina maana ya kukubali na siyo kulazimishwa kama vile ifanyikavyo kwa watumwa. Mtu anaweza kukubali tu ili wafikie suluhu katika kutokukubaliana kwao au kufikia muafaka kuwa basi na yaishe ili amani tipatikane.


Mtu asemapo hewala sio lazima kuwa amehukumiwa kuwa ni mkosaji bali anataka kuleta na kudumisha amani na furaha.

Hapa tunajifunza kuwa tukubali kutokukubaliana ili kuleta suluhu. Suluhu na maelewano mazuri huleta furaha, amani na utulivu katika mioyo ya watu na hivyo kuyafanya maisha kuwa bora. Hivyo mtu ambaye anapenda kukubaliana ni yule asemaye hewala. Mtu kama huyu huwa ni mpenda amani.

Sote yatupasa tupende amani na kuwa na mahusiano mazuri na watu wote ili tuweze kuboresha ustawi wetu na afya za akili.

The Healing Hands Project

The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection

Previous
Previous

Kuugua Siyo Kufa

Next
Next

Panapofuka Moshi Pana Moto.