MAHUSIANO MAZURI YANAYO RUHUSU MAJADILIANO

Mama Sixtha Komba (M&E Officer, TEWWY) atuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na uwanja wa majadiliano hasa kati ya vizazi.

Wazazi na walezi wanahitaji kuweka mahusiano mazuri yanayo ruhusu majadiliano kati ya mzazi na mtoto ili kuhamasisha maamuzi yenye mwafaka, kwa mfano: uchaguzi wa shule, kozi, mchepuo wa masomo, kazi, mke na kadhalika. Kuwa na mazungumzo ya wazi yamsaidia mtoto azingatie hilo swala maana naye alikua sehemu ya mjadala pia. Hii usaidia kupunguza migogoro katika familia na jamii kwa ujumla na uhimiza utendaji wa moyo msafi.


Previous
Previous

Ukitaka cha Uvunguni Sharti Uiname

Next
Next

BUSARA ZIANGUKIAZO KWENYE "T" TATU